Psalms 30:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe umegeuza maombolezo langu kuwa ngoma ya furaha; umeniondolea huzuni yangu, ukanizungushia furaha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uligeuza maombolezo yangu kuwa kucheza, ulinivua gunia ukanivika shangwe,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uligeuza matanga yangu kuwa machezo; Ulinivua gunia, ukanivika furaha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe umegeuza maombolezo langu kuwa ngoma ya furaha; umeniondolea huzuni yangu, ukanizungushia furaha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uligeuza maombolezo yangu kuwa kucheza, ulinivua nguo za gunia ukanivika shangwe,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uligeuza maombolezo yangu kuwa kucheza, ulinivua nguo za gunia ukanivika shangwe,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umegeuza msiba wangu kuwa ngoma; Umeniondolea huzuni yangu, kunijalia furaha tele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe umegeuza maombolezo langu kuwa ngoma ya furaha; umeniondolea huzuni yangu, ukanizungushia furaha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maombolezo yangu umeyageuza kuwa mashangilio, ukanivika nguo za mchezo ukinivua gunia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uligeuza matanga yangu kuwa machezo; Ulinivua gunia, ukanivika furaha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usikie, ee Yawe, unihurumie; ee Yawe, unisaidie!”