Psalms 30:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi nitakusifu wala sitakaa kimya. Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu nitakushukuru milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili moyo wangu uweze kukusifu na usikae kimya. Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wangu, nitakushukuru milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ili utukufu wangu ukusifu, Wala usinyamaze. Ee Bwana, Mungu wangu, Nitakushukuru milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi nitakusifu wala sitakaa kimya. Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu nitakushukuru milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili moyo wangu uweze kukusifu na usikae kimya. Ee BWANA Mungu wangu, nitakushukuru milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili moyo wangu uweze kukusifu na usikae kimya. Ee bwana Mwenyezi Mungu wangu, nitakushukuru milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ili nafsi yangu ikusifu, Wala isinyamaze. Ee BWANA, Mungu wangu, Nitakushukuru milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi nitakusifu wala sitakaa kimya. Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu nitakushukuru milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
roho yangu iliyotukuka hivyo, na ikuchezee, isinyamaze. Bwana Mungu wangu, kale na kale nitakushukuru.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ili utukufu wangu ukusifu, Wala usinyamaze. Ee BWANA, Mungu wangu, Nitakushukuru milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe umegeuza malalamiko yangu kuwa ngoma ya furaha; umeniondolea huzuni yangu, ukanijaza furaha.