Psalms 30:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, nilikulilia msaada, nawe ukaniponya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wangu, nilikuita unisaidie na wewe umeniponya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, Mungu wangu, Nalikulilia ukaniponya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, nilikulilia msaada, nawe ukaniponya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, Mungu wangu, nilikuita unisaidie na wewe umeniponya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, Mungu wangu, nilikuita unisaidie na wewe umeniponya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, Mungu wangu, Nilikulilia ukaniponya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, nilikulilia msaada, nawe ukaniponya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mungu wangu, nilipokulilia, ndipo, uliponiponya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, Mungu wangu, Nalikulilia ukaniponya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakutukuza, ee Yawe, maana umeniokoa, wala haukuwaacha waadui zangu wanisimange.