Psalms 30:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, umeniokoa kutoka kuzimu; umenipa tena uhai, umenitoa miongoni mwa waendao kuzimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, umenitoa Kuzimu, umeniokoa nisishuke kwenye shimo la mauti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umeniinua nafsi yangu, Ee Bwana, kutoka kuzimu. Umenihuisha na kunitoa Miongoni mwao washukao shimoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, umeniokoa kutoka kuzimu; umenipa tena uhai, umenitoa miongoni mwa waendao kuzimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, umenitoa Kuzimu, umeniokoa nisishuke kwenye shimo la mauti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, umenitoa Kuzimu, umeniokoa nisishuke kwenye shimo la mauti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umeniinua nafsi yangu, Ee BWANA, kutoka kuzimu. Umenihuisha na kunitoa Miongoni mwao washukao Shimoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, umeniokoa kutoka kuzimu; umenipa tena uhai, umenitoa miongoni mwa waendao kuzimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, umeipandisha roho yangu, itoke kuzimuni; wengine waliposhuka kaburini, ulinirudisha uzimani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umeniinua nafsi yangu, Ee BWANA, kutoka kuzimu. Umenihuisha na kunitoa Miongoni mwao washukao shimoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, Mungu wangu, nilikulilia, nawe ukaniponyesha.