Psalms 30:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu sifa, enyi waaminifu wake; kumbukeni utakatifu wake na kumshukuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwimbieni Mwenyezi Mungu, enyi watakatifu wake; lisifuni jina lake takatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwimbieni Bwana zaburi, Enyi watauwa wake. Na kufanya shukrani. Kwa kumbukumbu la utakatifu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu sifa, enyi waaminifu wake; kumbukeni utakatifu wake na kumshukuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwimbieni BWANA, enyi watakatifu wake; lisifuni jina lake takatifu, kwa kumbukumbu la utakatifu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwimbieni bwana, enyi watakatifu wake; lisifuni jina lake takatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwimbieni BWANA zaburi, Enyi watauwa wake. Na kutoa shukrani. Kwa kukumbuka utakatifu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu sifa, enyi waaminifu wake; kumbukeni utakatifu wake na kumshukuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi mmchao Mungu, mwimbieni Bwana wenu! Mshukuruni, mwakumbushe watu utakatifu wake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwimbieni BWANA zaburi, Enyi watauwa wake. Na kufanya shukrani. Kwa kumbukumbu la utakatifu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, umeniokoa kutoka kuzimu; umenipa tena uzima, umenitoa kutoka kati ya wafu.