Psalms 30:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa wema wako, ee Mwenyezi-Mungu, umeniimarisha kama mlima mkubwa. Lakini ukajificha mbali nami, nami nikafadhaika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, uliponijalia, uliuimarisha mlima wangu, lakini ulipouficha uso wako nilifadhaika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, kwa radhi yako Wewe uliuimarisha mlima wangu. Uliuficha uso wako, Nami nikafadhaika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa wema wako, ee Mwenyezi-Mungu, umeniimarisha kama mlima mkubwa. Lakini ukajificha mbali nami, nami nikafadhaika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, uliponijalia, uliuimarisha mlima wangu, lakini ulipouficha uso wako nilifadhaika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, uliponijalia, uliuimarisha mlima wangu, lakini ulipouficha uso wako nilifadhaika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, kwa radhi yako Wewe uliuimarisha mlima wangu. Uliuficha uso wako, Nami nikafadhaika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa wema wako, ee Mwenyezi-Mungu, umeniimarisha kama mlima mkubwa. Lakini ukajificha mbali nami, nami nikafadhaika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, uliponitazama kwa kupendezwa ulikuwa umeushikiza mlima wangu, upate nguvu; lakini ulipouficha uso wako, nikawa nimestuka!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, kwa radhi yako Wewe uliuimarisha mlima wangu. Uliuficha uso wako, Nami nikafadhaika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi nilipofanikiwa, nilisema: “Sitashindwa hata kidogo!