Psalms 30:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilikulilia wewe, ee Mwenyezi-Mungu; naam niliomba dua kwako ee Mwenyezi-Mungu:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwako wewe, Ee Mwenyezi Mungu, niliita, niliomba rehema kwa Bwana:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, nalikulilia Wewe, Naam, kwa Bwana naliomba dua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilikulilia wewe, ee Mwenyezi-Mungu; naam niliomba dua kwako ee Mwenyezi-Mungu:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwako wewe, Ee BWANA, niliita, kwa Bwana niliomba rehema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwako wewe, Ee bwana, niliita, kwa Bwana niliomba rehema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, nilikulilia Wewe, Naam, kwa BWANA niliomba dua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilikulilia wewe, ee Mwenyezi-Mungu; naam niliomba dua kwako ee Mwenyezi-Mungu:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nilipokulilia, wewe Bwana, Bwana wangu ndiye kweli, niliyemlalamikia:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, nalikulilia Wewe, Naam, kwa BWANA naliomba dua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa upendo wako, ee Yawe, umeniimarisha kama mulima mukubwa.” Lakini ukajificha mbali nami, nami nikafazaika.