Psalms 30:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Je, utapata faida gani nikifa na kushuka hadi kwa wafu? Je, mavumbi ya wafu yanaweza kukusifu? Je, yanaweza kusimulia uaminifu wako?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kuna faida gani katika kuangamia kwangu, katika kushuka kwangu shimoni? Je, mavumbi yatakusifu? Je, yatatangaza uaminifu wako?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mna faida gani katika damu yangu Nishukapo shimoni? Mavumbi yatakusifu? Yataitangaza kweli yako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Je, utapata faida gani nikifa na kushuka hadi kwa wafu? Je, mavumbi ya wafu yanaweza kukusifu? Je, yanaweza kusimulia uaminifu wako?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kuna faida gani katika kuangamia kwangu? Katika kushuka kwangu shimoni? Je, mavumbi yatakusifu? Je, yatatangaza uaminifu wako?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kuna faida gani katika kuangamia kwangu? Katika kushuka kwangu shimoni? Je, mavumbi yatakusifu? Je, yatatangaza uaminifu wako?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mna faida gani katika damu yangu Nishukapo Shimoni? Mavumbi yatakusifu? Yatautangaza uaminifu wako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Je, utapata faida gani nikifa na kushuka hadi kwa wafu? Je, mavumbi ya wafu yanaweza kukusifu? Je, yanaweza kusimulia uaminifu wako?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utapata nini, damu yangu ikimwagwa, nishuke kuzimuni? Mavumbi yatakushukuru nayo, yaitangaze kweli yako?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mna faida gani katika damu yangu Nishukapo shimoni? Mavumbi yatakusifu? Yataitangaza kweli yako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilikulilia wewe, ee Yawe; nilikusihi, ee Yawe: