Psalms 31:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) Kwako, ee Mwenyezi-Mungu, nakimbilia usalama, usiniache niaibike kamwe; kwa uadilifu wako uniokoe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, nimekukimbilia wewe, usiache nikaaibika kamwe, kwa haki yako uniokoe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimekukimbilia Wewe, Bwana, Nisiaibike milele. Kwa haki yako uniponye,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwako, ee Mwenyezi-Mungu, nakimbilia usalama, usiniache niaibike kamwe; kwa uadilifu wako uniokoe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Daudi) Ee BWANA, ninakukimbilia wewe, usiache nikaaibika kamwe, kwa haki yako uniokoe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, nimekukimbilia wewe, usiache nikaaibika kamwe, kwa haki yako uniokoe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimekukimbilia Wewe, BWANA, Nisiaibike milele. Kwa haki yako uniponye,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwako, ee Mwenyezi-Mungu, nakimbilia usalama, usiniache niaibike kamwe; kwa uadilifu wako uniokoe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe Bwana, nimekukimbilia, sitatwezeka kale na kale. Kwa kuwa mwenye wongofu na uniponye!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimekukimbilia Wewe, BWANA, Nisiaibike milele. Kwa haki yako uniponye,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Zaburi ya Daudi.