Psalms 31:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimesahaulika kama mtu aliyekufa; nimekuwa kama chungu kilichovunjikavunjika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimesahaulika miongoni mwao kama mtu aliyekufa, nimekuwa kama chombo cha mfinyanzi kilichovunjika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimesahauliwa kama mfu asiyekumbukwa; Nimekuwa kama chombo kilichovunjika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimesahaulika kama mtu aliyekufa; nimekuwa kama chungu kilichovunjikavunjika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimesahaulika miongoni mwao kama mtu aliyekufa, nimekuwa kama chombo cha mfinyanzi kilichovunjika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimesahaulika miongoni mwao kama mtu aliyekufa, nimekuwa kama chombo cha mfinyanzi kilichovunjika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimesahauliwa kama mfu asiyekumbukwa; Nimekuwa kama chombo kilichovunjika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimesahaulika kama mtu aliyekufa; nimekuwa kama chungu kilichovunjikavunjika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimesahauliwa mioyoni mwao kama mfu, nikawa kama chombo kilichovunjika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimesahauliwa kama mfu asiyekumbukwa; Nimekuwa kama chombo kilichovunjika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waadui zangu wote wananizarau, na hasa zaidi wenzangu. Warafiki zangu wameniona kuwa kitisho; wanaponiona katika njia wananikimbia.