Psalms 31:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mimi nakutumainia wewe, ee Mwenyezi-Mungu. Nasema: “Wewe ni Mungu wangu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mimi ninakutumaini wewe peke yako, Ee Mwenyezi Mungu; nimesema, “Wewe ndiwe Mungu wangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mimi nakutumaini Wewe, Bwana, Nimesema, Wewe ndiwe Mungu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mimi nakutumainia wewe, ee Mwenyezi-Mungu. Nasema: “Wewe ni Mungu wangu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mimi ninakutumaini wewe peke yako, Ee BWANA; nimesema, “Wewe ndiwe Mungu wangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mimi ninakutumaini wewe peke yako, Ee bwana; nimesema, “Wewe ndiwe Mungu wangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mimi nakutumaini Wewe, BWANA, Nimesema, Wewe ndiwe Mungu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mimi nakutumainia wewe, ee Mwenyezi-Mungu. Nasema: “Wewe ni Mungu wangu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mimi ninayemwegemea, ndiye Bwana, Mungu wangu ndiwe wewe! Hii naungama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mimi nakutumaini Wewe, BWANA, Nimesema, Wewe ndiwe Mungu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninasikia watu wakinongonezana; kuna vitisho kila upande. Wanafanya shauri baya juu yangu, wanafanya mipango ya kuniua.