Psalms 31:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uniangalie kwa wema mimi mtumishi wako; uniokoe kwa fadhili zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwangazie mtumishi wako uso wako, uniokoe kwa ajili ya upendo wako usiokoma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umwangaze mtumishi wako Kwa nuru ya uso wako; Uniokoe kwa ajili ya fadhili zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uniangalie kwa wema mimi mtumishi wako; uniokoe kwa fadhili zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwangazie mtumishi wako uso wako, uniokoe kwa ajili ya upendo wako usiokoma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwangazie mtumishi wako uso wako, uniokoe kwa ajili ya upendo wako usiokoma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umwangaze mtumishi wako Kwa nuru ya uso wako; Uniokoe kwa ajili ya fadhili zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uniangalie kwa wema mimi mtumishi wako; uniokoe kwa fadhili zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uangaze uso wako, mtumishi wako auone! Kwa upole wako na uniokoe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umwangaze mtumishi wako Kwa nuru ya uso wako; Uniokoe kwa ajili ya fadhili zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maisha yangu ni katika mikono yako. Uniokoe kutoka waadui zangu, uniokoe kutoka hao wanaonitesa.