Psalms 31:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiniache niaibike ee Mwenyezi-Mungu, maana mimi ninakuomba; lakini waache waovu waaibike, waache wapotelee kwa mshangao huko kuzimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiniache niaibike, Ee Mwenyezi Mungu, kwa maana nimekulilia wewe, bali waovu waaibishwe na kunyamazishwa Kuzimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, nisiaibishwe, maana nimekuita; Waaibishwe wasio haki, wanyamaze kuzimuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiniache niaibike ee Mwenyezi-Mungu, maana mimi ninakuomba; lakini waache waovu waaibike, waache wapotelee kwa mshangao huko kuzimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiniache niaibike, Ee BWANA, kwa maana nimekulilia wewe, bali waovu waaibishwe na kunyamazishwa Kuzimu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiniache niaibike, Ee bwana, kwa maana nimekulilia wewe, bali waovu waaibishwe na kunyamazishwa Kuzimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, nisiaibishwe, maana nimekuita; Waaibishwe wasio haki, wanyamaze kuzimuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiniache niaibike ee Mwenyezi-Mungu, maana mimi ninakuomba; lakini waache waovu waaibike, waache wapotelee kwa mshangao huko kuzimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, usiniache, nisije kutwezwa, kwani nikakulilia; sharti watwezwe wao wasiokucha, na waje kuzimuni kuyamazia huko!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, nisiaibishwe, maana nimekuita; Waaibishwe wasio haki, wanyamaze kuzimuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uniangalie mimi mutumishi wako; uniokoe kwa wema wako.