Psalms 31:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Izibe midomo ya hao watu waongo, watu walio na kiburi na majivuno, ambao huwadharau watu waadilifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Midomo yao isemayo uongo na inyamazishwe, kwa maana kwa kiburi na dharau wao husema kwa majivuno dhidi ya wenye haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Midomo ya uongo iwe na ububu, Imneneayo mwenye haki maneno ya kiburi, Kwa majivuno na dharau.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Izibe midomo ya hao watu waongo, watu walio na kiburi na majivuno, ambao huwadharau watu waadilifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Midomo yao isemayo uongo na inyamazishwe, kwa maana kwa kiburi na dharau husema kwa majivuno dhidi ya wenye haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Midomo yao isemayo uongo na inyamazishwe, kwa maana kwa kiburi na dharau wao husema kwa majivuno dhidi ya wenye haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Midomo ya uongo iwe na ububu, Imneneayo mwenye haki maneno ya kiburi, Kwa majivuno na dharau.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Izibe midomo ya hao watu waongo, watu walio na kiburi na majivuno, ambao huwadharau watu waadilifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Midomo yenye uwongo sharti ifumbwe kuwa kimya, kwani mwongofu wamemtolea meneno ya kumkorofisha, kwa majivuno yao wakambeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Midomo ya uongo iwe na ububu, Imneneayo mwenye haki maneno ya kiburi, Kwa majivuno na dharau.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiniache nifezeheke, ee Yawe, maana mimi ninakulilia; lakini uwaache waovu wafezeheke, uwaache wapotelee huko kuzimu.