Psalms 31:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unitegee sikio, uniokoe haraka! Uwe kwangu mwamba wa usalama, ngome imara ya kuniokoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitegee sikio lako, uje uniokoe haraka; uwe kwangu mwamba wa kimbilio, ngome imara ya kuniokoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Unitegee sikio lako, uniokoe hima. Uwe kwangu mwamba wa nguvu, Nyumba yenye maboma ya kuniokoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unitegee sikio, uniokoe haraka! Uwe kwangu mwamba wa usalama, ngome imara ya kuniokoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitegee sikio lako, uje uniokoe haraka, uwe kwangu mwamba wa kimbilio, ngome imara ya kuniokoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitegee sikio lako, uje uniokoe haraka; uwe kwangu mwamba wa kimbilio, ngome imara ya kuniokoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Unitegee sikio lako, uniokoe hima. Uwe kwangu mwamba wa nguvu, Ngome thabiti ya kuniokoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unitegee sikio, uniokoe haraka! Uwe kwangu mwamba wa usalama, ngome imara ya kuniokoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitegee sikio lako, unisaidie upesi! Niwie mwamba wenye nguvu na nyumba yenye boma! Ndivyo, utakavyopata kuniokoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Unitegee sikio lako, uniokoe hima. Uwe kwangu mwamba wa nguvu, Nyumba yenye maboma ya kuniokoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwako, ee Yawe, ninakimbilia. Usiniache nifezeheke hata kidogo; kwa haki yako, uniokoe.