Psalms 31:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wawaficha mahali salama hapo ulipo, mbali na mipango mibaya ya watu; wawaweka salama katika ulinzi wako, mbali na ubishi wa maadui zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unawahifadhi katika uvuli wa uwepo wako kutokana na hila za wanadamu; katika makao yako huwaweka salama kutokana na ndimi za mashtaka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utawasitiri na fitina za watu Katika sitara ya kuwapo kwako; Utawaficha katika hema Na mashindano ya ndimi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wawaficha mahali salama hapo ulipo, mbali na mipango mibaya ya watu; wawaweka salama katika ulinzi wako, mbali na ubishi wa maadui zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unawahifadhi katika uvuli wa uwepo wako kutokana na hila za wanadamu; katika makao yako huwaweka salama kutokana na ndimi za mashtaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unawahifadhi katika uvuli wa uwepo wako kutokana na hila za wanadamu; katika makao yako huwaweka salama kutokana na ndimi za mashtaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utawasitiri kutoka kwenye fitina za watu Katika maficho ya kuwapo kwako; Utawaficha katika hema Na ushindani wa ndimi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wawaficha mahali salama hapo ulipo, mbali na mipango mibaya ya watu; wawaweka salama katika ulinzi wako, mbali na ubishi wa maadui zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mafichoni kwa uso wako unawaficha, watu wakiwatolea ukali; ukawafunika chumbani ndani, ndimi zao zikiwagombeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utawasitiri na fitina za watu Katika sitara ya kuwapo kwako; Utawaficha katika hema Na mashindano ya ndimi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli, mazuri yako ni mengi sana, unayowawekea wale wanaokuabudu! Unawatendea mazuri mbele ya watu wote wale wanaokukimbilia.