Psalms 31:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asifiwe Mwenyezi-Mungu, maana amenionesha fadhili zake kwa namna ya ajabu, nilipozingirwa kama mji unaoshambuliwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atukuzwe Mwenyezi Mungu, kwa kuwa amenionesha upendo wake wa ajabu nilipokuwa katika mji uliozingirwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ahimidiwe; kwa maana amenitendea Fadhili za ajabu katika mji wenye boma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Asifiwe Mwenyezi-Mungu, maana amenionesha fadhili zake kwa namna ya ajabu, nilipozingirwa kama mji unaoshambuliwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atukuzwe BWANA, kwa kuwa amenionyesha upendo wake wa ajabu nilipokuwa katika mji uliozingirwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atukuzwe bwana, kwa kuwa amenionyesha upendo wake wa ajabu nilipokuwa katika mji uliozingirwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ahimidiwe; kwa maana amenitendea Fadhili za ajabu nilipozongwa kama mji wenye boma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asifiwe Mwenyezi-Mungu, maana amenionesha fadhili zake kwa namna ya ajabu, nilipozingirwa kama mji unaoshambuliwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana na atukuzwe! Kwani amenistaajabisha, akaniweka mjini mwenye nguvu kwa upole wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ahimidiwe; kwa maana amenitendea Fadhili za ajabu katika mji wenye boma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unawaficha kwenye usalama pahali unapokuwa, mbali na mipango mibaya ya watu; unawalinda salama, mbali na ubishi wa waadui zao.