Psalms 31:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpendeni Mwenyezi-Mungu, enyi watakatifu wake wote. Mwenyezi-Mungu huwalinda watu waaminifu; lakini huwaadhibu kabisa wenye kiburi wanavyostahili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpendeni Mwenyezi Mungu ninyi watakatifu wake wote! Mwenyezi Mungu huwahifadhi waaminifu, lakini wenye kiburi huwalipiza kikamilifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpendeni Bwana, Ninyi nyote mlio watauwa wake. Bwana huwahifadhi waaminifu, Humlipa atendaye kiburi malipo tele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpendeni Mwenyezi-Mungu, enyi watakatifu wake wote. Mwenyezi-Mungu huwalinda watu waaminifu; lakini huwaadhibu kabisa wenye kiburi wanavyostahili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpendeni BWANA ninyi watakatifu wake wote! BWANA huwahifadhi waaminifu, lakini wenye kiburi huwalipiza kikamilifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpendeni bwana ninyi watakatifu wake wote! bwana huwahifadhi waaminifu, lakini wenye kiburi huwalipiza kikamilifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpendeni BWANA, Ninyi nyote mlio watauwa wake. BWANA huwahifadhi waaminifu, Bali humlipiza mwenye kiburi ipasavyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpendeni Mwenyezi-Mungu, enyi watakatifu wake wote. Mwenyezi-Mungu huwalinda watu waaminifu; lakini huwaadhibu kabisa wenye kiburi wanavyostahili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpendeni Bwana, ninyi yote mmchao! Bwana huwalinda wamtegemeao. Lakini wafanyao majivuno huwalipisha, asisaze hata kidogo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpendeni BWANA, Ninyi nyote mlio watauwa wake. BWANA huwahifadhi waaminifu, Humlipa atendaye kiburi malipo tele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami niliogopa na kuzani kwamba ulikuwa umenitupa; kumbe, ulisikia kilio changu nilipokuita unisaidie.