Psalms 31:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam, wewe ni mwamba wangu na ngome yangu; kwa hisani yako uniongoze na kunielekeza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa wewe ni mwamba wangu na ngome yangu, uniongoze na kunilinda kwa ajili ya jina lako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndiwe genge langu na ngome yangu; Kwa ajili ya jina lako uniongoze, unichunge.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam, wewe ni mwamba wangu na ngome yangu; kwa hisani yako uniongoze na kunielekeza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa wewe ni mwamba wangu na ngome yangu, uniongoze na kunilinda kwa ajili ya jina lako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa wewe ni mwamba wangu na ngome yangu, uniongoze na kunilinda kwa ajili ya jina lako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndiwe mwamba wangu na ngome yangu; Kwa ajili ya jina lako uniongoze na unichunge.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam, wewe ni mwamba wangu na ngome yangu; kwa hisani yako uniongoze na kunielekeza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mwamba wangu na boma langu ndiwe wewe, kwa ajili ya Jina lako utaniongoza, unipeleke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndiwe genge langu na ngome yangu; Kwa ajili ya jina lako uniongoze, unichunge.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unitegee sikio, uniokoe haraka! Ukuwe kwangu kikingio na kimbilio, kusudi nipate kuokoka.