Psalms 31:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unitoe katika mtego walionitegea mafichoni; maana wewe ni kimbilio la usalama wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uniepushe na mtego niliotegewa, maana wewe ndiwe kimbilio langu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utanitoa katika wavu walionitegea kwa siri, Maana Wewe ndiwe ngome yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unitoe katika mtego walionitegea mafichoni; maana wewe ni kimbilio la usalama wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uniepushe na mtego niliotegewa, maana wewe ndiwe kimbilio langu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uniepushe na mtego niliotegewa, maana wewe ndiwe kimbilio langu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utanitoa katika wavu walionitegea kwa siri, Maana Wewe ndiwe ngome yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unitoe katika mtego walionitegea mafichoni; maana wewe ni kimbilio la usalama wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unitoe katika tanzi, walilonitegea! Kwani aliye nguvu yangu ndiwe wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utanitoa katika wavu walionitegea kwa siri, Maana Wewe ndiwe ngome yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe ni kikingio na upango wangu; kwa heshima ya jina lako, uniongoze na kunionyesha njia.