Psalms 31:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mikononi mwako naiweka roho yangu; umenikomboa, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu mwaminifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninaikabidhi roho yangu mikononi mwako, unikomboe Ee Mwenyezi Mungu, uliye Mungu wa kweli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mikononi mwako naiweka roho yangu; Umenikomboa, Ee Bwana, Mungu wa kweli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mikononi mwako naiweka roho yangu; umenikomboa, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu mwaminifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninaikabidhi roho yangu mikononi mwako, Ee BWANA unikomboe, wewe uliye Mungu wa kweli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninaikabidhi roho yangu mikononi mwako, unikomboe Ee bwana, uliye Mungu wa kweli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mikononi mwako naiweka roho yangu; Umenikomboa, Ee BWANA, Mungu wa kweli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mikononi mwako naiweka roho yangu; umenikomboa, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu mwaminifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho yangu naiweka mikononi mwako; Bwana uliye Mungu wa kweli, umenikomboa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mikononi mwako naiweka roho yangu; Umenikomboa, Ee BWANA, Mungu wa kweli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uniopoe katika mutego walionitegea; maana wewe ni mulinzi wangu.