Psalms 31:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wawachukia wanaoabudu sanamu batili; lakini mimi nakutumainia wewe, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninawachukia wale wanaoshikilia sanamu batili; bali mimi ninamtumaini Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawachukia wao washikao yasiyofaa yenye uongo; Bali mimi namtumaini Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wawachukia wanaoabudu sanamu batili; lakini mimi nakutumainia wewe, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninawachukia wale wanaong'ang'ania sanamu batili; mimi ninamtumaini BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninawachukia wale wanaong’ang’ania sanamu batili; mimi ninamtumaini bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawachukia wao washikao yasiyofaa yenye uongo; Bali mimi namtumainia BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wawachukia wanaoabudu sanamu batili; lakini mimi nakutumainia wewe, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawachukia waangaliao mizimu iliyo ya uwongo tu, mimi ninayemwegemea, ndiye Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawachukia wao washikao yasiyofaa yenye uongo; Bali mimi namtumaini BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninaweka roho yangu katika mikono yako; umenikomboa, ee Yawe, Mungu mwaminifu.