Psalms 31:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitashangilia na kufurahia fadhili zako, maana wewe waiona dhiki yangu, wajua na taabu ya nafsi yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitafurahia na kushangilia upendo wako, kwa kuwa uliona mateso yangu na ulijua maumivu ya nafsi yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na nishangilie, nizifurahie fadhili zako, Kwa kuwa umeyaona mateso yangu. Umeijua nafsi yangu taabuni,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitashangilia na kufurahia fadhili zako, maana wewe waiona dhiki yangu, wajua na taabu ya nafsi yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitafurahia na kushangilia upendo wako, kwa kuwa uliona mateso yangu na ulijua maumivu ya nafsi yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitafurahia na kushangilia upendo wako, kwa kuwa uliona mateso yangu na ulijua maumivu ya nafsi yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na nishangilie, nizifurahie fadhili zako, Kwa kuwa umeyaona mateso yangu. Umeijua nafsi yangu taabuni,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitashangilia na kufurahia fadhili zako, maana wewe waiona dhiki yangu, wajua na taabu ya nafsi yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitashangilia na kuufurahia upole wako, kwa kuwa umeutazama ukiwa wangu, ukayatambua nayo masongano ya roho yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na nishangilie, nizifurahie fadhili zako, Kwa kuwa umeyaona mateso yangu. Umeijua nafsi yangu taabuni,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninawachukia wanaoabudu vitu vya bure. Mimi, ninakutumainia wewe, ee Yawe.