Psalms 31:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unionee huruma, ee Mwenyezi-Mungu, niko taabuni; macho yangu yamechoka kwa huzuni, nimeishiwa nguvu mwilini na rohoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu unihurumie, kwa kuwa niko kwenye shida; macho yangu yanafifia kwa huzuni, nafsi yangu na mwili wangu kwa sikitiko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, unifadhili, maana ni katika dhiki, Jicho langu limenyauka kwa masumbufu, Naam, mwili wangu na nafsi yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unionee huruma, ee Mwenyezi-Mungu, niko taabuni; macho yangu yamechoka kwa huzuni, nimeishiwa nguvu mwilini na rohoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA unihurumie, kwa kuwa niko kwenye shida; macho yangu yanafifia kwa huzuni, nafsi yangu na mwili wangu kwa sikitiko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana unihurumie, kwa kuwa niko kwenye shida; macho yangu yanafifia kwa huzuni, nafsi yangu na mwili wangu kwa sikitiko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, unifadhili, maana ni katika dhiki, Jicho langu limenyauka kwa masumbufu, Naam, mwili wangu na nafsi yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unionee huruma, ee Mwenyezi-Mungu, niko taabuni; macho yangu yamechoka kwa huzuni, nimeishiwa nguvu mwilini na rohoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niwie mpole, Bwana! Kwani nimesongeka, macho yangu yamenyauka kwa uchungu, nayo roho vilevile pamoja na mwili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, unifadhili, maana ni katika dhiki, Jicho langu limenyauka kwa masumbufu, Naam, mwili wangu na nafsi yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe haukunitoa katika mikono ya waadui zangu; lakini umenisimamisha kwenye pahali pa usalama.