Psalms 32:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Daudi. Funzo) Heri yake mtu aliyesamehewa kosa lake, mtu ambaye dhambi yake imeondolewa kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heri mtu aliyesamehewa makosa yake, ambaye dhambi zake zimefunikwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri aliyesamehewa dhambi, Na kusitiriwa makosa yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri yake mtu aliyesamehewa kosa lake, mtu ambaye dhambi yake imeondolewa kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Utenzi: Zaburi Ya Daudi. Funzo) Heri mtu yule ambaye amesamehewa makosa yake, ambaye dhambi zake zimefunikwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heri mtu yule ambaye amesamehewa makosa yake, ambaye dhambi zake zimefunikwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri aliyesamehewa dhambi, Na kuondolewa makosa yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri yake mtu aliyesamehewa kosa lake, mtu ambaye dhambi yake imeondolewa kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Mwenye shangwe ndiye aondolewaye mapotovu, naye aliyefunikwa makosa yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri aliyesamehewa dhambi, Na kusitiriwa makosa yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Daudi: Mashairi. Heri mutu aliyesamehewa kosa lake, mutu ambaye zambi yake imeondolewa kabisa.