Psalms 32:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu waovu watapata mateso mengi, bali wanaomtumainia Mwenyezi-Mungu wazungukwa na fadhili zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu mwovu ana taabu nyingi, bali upendo usio na kikomo wa Mwenyezi Mungu unamzunguka mtu anayemtumaini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye mtu mwovu ana mapigo mengi, Bali amtumainiye Bwana fadhili zitamzunguka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu waovu watapata mateso mengi, bali wanaomtumainia Mwenyezi-Mungu wazungukwa na fadhili zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu mwovu ana taabu nyingi, bali upendo usio na kikomo wa BWANA unamzunguka mtu anayemtumaini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu mwovu ana taabu nyingi, bali upendo usio na kikomo wa bwana unamzunguka mtu anayemtumaini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye mtu mwovu ana mapigo mengi, Bali amtumainiaye BWANA fadhili zitamzunguka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu waovu watapata mateso mengi, bali wanaomtumainia Mwenyezi-Mungu wazungukwa na fadhili zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maumivu yake asiyemcha Mungu ndiyo mengi, lakini amwegemeaye Bwana hugawiwa mengi, yamzunguke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye mtu mwovu ana mapigo mengi, Bali amtumainiye BWANA fadhili zitamzunguka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu waovu watapata mateso mengi, lakini wanaomutumainia Yawe wanazungukwa na wema wake.