Psalms 32:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Furahini na kushangilia kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu enyi waadilifu; pigeni vigelegele vya shangwe enyi wanyofu wa moyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shangilieni katika Mwenyezi Mungu na mfurahi, enyi wenye haki! Imbeni, nyote mlio wanyofu wa moyo!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfurahieni Bwana; Shangilieni, enyi wenye haki Pigeni vigelegele vya furaha; Ninyi nyote mlio wanyofu wa moyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Furahini na kushangilia kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu enyi waadilifu; pigeni vigelegele vya shangwe enyi wanyofu wa moyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shangilieni katika BWANA na mfurahi, enyi wenye haki! Imbeni, ninyi nyote mlio wanyofu wa moyo!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shangilieni katika bwana na mfurahi, enyi wenye haki! Imbeni, nyote mlio wanyofu wa moyo!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfurahieni BWANA; Shangilieni, enyi wenye haki Pigeni vigelegele vya furaha; Ninyi nyote mlio wanyofu wa moyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Furahini na kushangilia kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu enyi waadilifu; pigeni vigelegele vya shangwe enyi wanyofu wa moyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfurahieni Bwana na kumshangilia, ninyi waongofu! Nyote mnyokao mioyo, pigeni vigelegele!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfurahieni BWANA; Shangilieni, enyi wenye haki Pigeni vigelegele vya furaha; Ninyi nyote mlio wanyofu wa moyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufurahi na kushangilia kwa sababu ya Yawe, enyi watu wa haki; mupige vigelegele vya shangwe, enyi wenye moyo wa usawa.