Psalms 32:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri mtu ambaye Mwenyezi-Mungu hamwekei hatia, mtu ambaye hana hila moyoni mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heri mtu yule ambaye Mwenyezi Mungu hamhesabii dhambi, na ambaye rohoni mwake hamna udanganyifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri Bwana asiyemhesabia upotovu, Ambaye rohoni mwake hamna hila.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri mtu ambaye Mwenyezi-Mungu hamwekei hatia, mtu ambaye hana hila moyoni mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Heri mtu yule ambaye BWANA hamhesabii dhambi, na ambaye rohoni mwake hamna udanganyifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heri mtu yule ambaye bwana hamhesabii dhambi, na ambaye rohoni mwake hamna udanganyifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri ambaye BWANA hamhesabii hatia, Na ambaye rohoni mwake hamna hila.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri mtu ambaye Mwenyezi-Mungu hamwekei hatia, mtu ambaye hana hila moyoni mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye shangwe ni mtu, Bwana asiyemhesabia manza, asiyekuwa na udanganyifu rohoni mwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri BWANA asiyemhesabia upotovu, Ambaye rohoni mwake hamna hila.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri mutu ambaye Yawe hamuhesabii kosa, mutu ambaye hana udanganyifu ndani ya moyo wake.