Psalms 32:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati nilipokuwa sijakiri dhambi yangu, nilikuwa nimedhoofika kwa kulia mchana kutwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niliponyamaza, mifupa yangu ilichakaa kwa kulia kwa maumivu makali mchana kutwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Niliponyamaza mifupa yangu ilichakaa Kwa kuugua kwangu mchana kutwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati nilipokuwa sijakiri dhambi yangu, nilikuwa nimedhoofika kwa kulia mchana kutwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niliponyamaza, mifupa yangu ilichakaa kwa kulia kwa maumivu makali mchana kutwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niliponyamaza, mifupa yangu ilichakaa kwa kulia kwa maumivu makali mchana kutwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilipokosa kuungama dhambi zangu, mifupa yangu ilipooza Kwa kulia kwangu mchana kutwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati nilipokuwa sijakiri dhambi yangu, nilikuwa nimedhoofika kwa kulia mchana kutwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani nilipoyanyamazia, mifupa yangu ikanyauka kwa hivyo, nilivyopiga kite mchana kutwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Niliponyamaza mifupa yangu ilichakaa Kwa kuugua kwangu mchana kutwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilipokuwa sijaitikia zambi yangu, nilikuwa muzaifu sana kwa kulia muchana kutwa.