Psalms 32:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha nilikiri makosa yangu kwako; wala sikuuficha uovu wangu. Nilisema ninakuungamia makosa yangu ee Mwenyezi-Mungu, ndipo nawe ukanisamehe dhambi zangu zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha nikakiri dhambi yangu kwako, wala sikuficha uovu wangu. Nilisema, “Nitaungama makosa yangu kwa Mwenyezi Mungu.” Ndipo uliponisamehe hatia ya dhambi yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalikujulisha dhambi yangu, Wala sikuuficha upotovu wangu. Nalisema, Nitayakiri maasi yangu kwa Bwana, Nawe ukanisamehe upotovu wa dhambi yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha nilikiri makosa yangu kwako; wala sikuuficha uovu wangu. Nilisema ninakuungamia makosa yangu ee Mwenyezi-Mungu, ndipo nawe ukanisamehe dhambi zangu zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha nilikujulisha dhambi yangu wala sikuficha uovu wangu. Nikasema, “Nitaungama makosa yangu kwa BWANA,” ndipo uliponisamehe hatia ya dhambi yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha nilikujulisha dhambi yangu wala sikuficha uovu wangu. Nilisema, “Nitaungama makosa yangu kwa bwana.” Ndipo uliponisamehe hatia ya dhambi yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo nikakuungamia dhambi yangu, Wala sikuuficha upotovu wangu. Nilisema, Nitayakiri maasi yangu kwa BWANA, Nawe ukanisamehe upotovu wa dhambi yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha nilikiri makosa yangu kwako; wala sikuuficha uovu wangu. Nilisema ninakuungamia makosa yangu ee Mwenyezi-Mungu, ndipo nawe ukanisamehe dhambi zangu zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nilipokuungamia makosa yangu, nazo manza, nilizozikora, sikuzifunika; nikasema: Nitamwungamia Bwana mapotovu yangu; ndipo, wewe uliponiondolea manza, nilizozikora kwa kukosa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalikujulisha dhambi yangu, Wala sikuuficha upotovu wangu. Nalisema, Nitayakiri maasi yangu kwa BWANA, Nawe ukanisamehe upotovu wa dhambi yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha niliitikia makosa yangu mbele yako, wala sikuficha uovu wangu. Nilisema kwamba nitaungama makosa yangu mbele ya Yawe. Nawe ukanisamehe zambi yangu.