Psalms 32:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe ndiwe kinga yangu; wewe wanilinda katika taabu. Umenijalia shangwe za kukombolewa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe ndiwe mahali pangu pa kujificha, utaniepusha na taabu na kunizunguka kwa nyimbo za wokovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndiwe sitara yangu, utanihifadhi na mateso, Utanizungusha nyimbo za wokovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe ndiwe kinga yangu; wewe wanilinda katika taabu. Umenijalia shangwe za kukombolewa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe ndiwe mahali pangu pa kujificha, utaniepusha na taabu na kunizunguka kwa nyimbo za wokovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe ndiwe mahali pangu pa kujificha, utaniepusha na taabu na kunizunguka kwa nyimbo za wokovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kimbilio langu utanilinda nisipate mateso, Utanizungusha nyimbo za kufurahia wokovu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe ndiwe kinga yangu; wewe wanilinda katika taabu. Umenijalia shangwe za kukombolewa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe nidwe ficho langu, utanilinda, nisisongeke; utanipa, nikushangilie po pote kwa kuniponya.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndiwe sitara yangu, utanihifadhi na mateso, Utanizungusha nyimbo za wokovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe unanificha kwa kunilinda wakati wa taabu. Ninazungukwa na ukombozi wako.