Psalms 32:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiwe mpumbavu kama farasi au nyumbu, ambao lazima wafungwe lijamu na hatamu, la sivyo hawatakukaribia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiwe kama farasi au nyumbu wasio na akili, ambao ni lazima waongozwe kwa lijamu na hatamu la sivyo hawatakukaribia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msiwe kama farasi wala nyumbu, Walio hawana akili. Kwa matandiko ya lijamu na hatamu Sharti kuwazuia hao, au hawatakukaribia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiwe mpumbavu kama farasi au nyumbu, ambao lazima wafungwe lijamu na hatamu, la sivyo hawatakukaribia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiwe kama farasi au nyumbu wasio na akili, ambao ni lazima waongozwe kwa lijamu na hatamu la sivyo hawatakukaribia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiwe kama farasi au nyumbu wasio na akili, ambao ni lazima waongozwe kwa lijamu na hatamu la sivyo hawatakukaribia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msiwe kama farasi wala nyumbu, Wasiokuwa na akili. Kwa matandiko ya lijamu na hatamu Sharti kuwazuia hao, au hawatakukaribia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiwe mpumbavu kama farasi au nyumbu, ambao lazima wafungwe lijamu na hatamu, la sivyo hawatakukaribia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msiwe kama farasi au nyumbu wakosao akili! Wasipotiwa hatamu na mafungo hawaji kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msiwe kama farasi wala nyumbu, Walio hawana akili. Kwa matandiko ya lijamu na hatamu Sharti kuwazuia hao, au hawatakukaribia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usikuwe mupumbafu kama farasi au nyumbu, ambao lazima wafungwe kamba ndani ya kinywa, kama sivyo hawatakukaribia.”