Psalms 33:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shangilieni kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu enyi waadilifu! Kumsifu Mungu ni wajibu wa watu wanyofu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwimbieni Mwenyezi Mungu kwa furaha, enyi wenye haki; wanyofu wa moyo wanapaswa kumsifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpigieni Bwana vigelegele, enyi wenye haki, Kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shangilieni kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu enyi waadilifu! Kumsifu Mungu ni wajibu wa watu wanyofu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwimbieni BWANA kwa furaha, enyi wenye haki; kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwimbieni bwana kwa furaha, enyi wenye haki; kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpigieni BWANA vigelegele, enyi wenye haki, Kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shangilieni kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu enyi waadilifu! Kumsifu Mungu ni wajibu wa watu wanyofu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pigeni vigelegele, ninyi waongofu, kwa kuwa naye Bwana! Kumtukuza na kumsifu kunawapasa wanyokao mioyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpigieni BWANA vigelegele, enyi wenye haki, Kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mushangilie kwa sababu ya Yawe, enyi watu wa haki! Watu wa usawa ndio wanaostahili kumusifu Mungu.