Psalms 33:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu hupangua mipango ya mataifa, na kuyatangua mawazo yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu huzuia mipango ya mataifa, hupinga makusudi ya mataifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana huyabatilisha mashauri ya mataifa, Huyatangua makusudi ya watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu hupangua mipango ya mataifa, na kuyatangua mawazo yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA huzuia mipango ya mataifa, hupinga makusudi ya mataifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana huzuia mipango ya mataifa, hupinga makusudi ya mataifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA huyabatilisha mashauri ya mataifa, Huitangua mipango ya watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu hupangua mipango ya mataifa, na kuyatangua mawazo yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana huyavunja mashauri yao wamizimu, huyatengua mawazo yao makabila ya watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA huyabatilisha mashauri ya mataifa, Huyatangua makusudi ya watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anavunja mipango ya mataifa, na anabadilisha mawazo yao.