Psalms 33:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpango wa Mwenyezi-Mungu hudumu milele; maazimio yake yadumu vizazi vyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mipango ya Mwenyezi Mungu inasimama imara milele, makusudi ya moyo wake kwa vizazi vyote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Shauri la Bwana lasimama milele, Makusudi ya moyo wake vizazi na vizazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpango wa Mwenyezi-Mungu hudumu milele; maazimio yake yadumu vizazi vyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mipango ya BWANA inasimama imara milele, makusudi ya moyo wake kwa vizazi vyote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mipango ya bwana inasimama imara milele, makusudi ya moyo wake kwa vizazi vyote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Shauri la BWANA lasimama milele, Makusudi ya moyo wake vizazi na vizazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpango wa Mwenyezi-Mungu hudumu milele; maazimio yake yadumu vizazi vyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Shauri lake Bwana husimama kale na kale, mawazo ya moyo wake hutimilia vizazi kwa vizazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Shauri la BWANA lasimama milele, Makusudi ya moyo wake vizazi na vizazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mipango ya Yawe inadumu milele; kusudi lake linadumu kwa vizazi vyote.