Psalms 33:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri taifa ambalo Mungu wake ni Mwenyezi-Mungu; heri wale aliowachagua kuwa watu wake mwenyewe!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heri taifa ambalo Mwenyezi Mungu ni Mungu wao, watu ambao aliwachagua kuwa urithi wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao, Watu aliowachagua kuwa urithi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri taifa ambalo Mungu wake ni Mwenyezi-Mungu; heri wale aliowachagua kuwa watu wake mwenyewe!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Heri taifa ambalo BWANA ni Mungu wao, watu ambao aliwachagua kuwa urithi wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heri taifa ambalo bwana ni Mungu wao, watu ambao aliwachagua kuwa urithi wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri taifa ambalo BWANA ni Mungu wao, Watu aliowachagua kuwa urithi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri taifa ambalo Mungu wake ni Mwenyezi-Mungu; heri wale aliowachagua kuwa watu wake mwenyewe!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wenye shangwe ndio, Bwana aliowawia Mungu, nalo kabila la watu, aliowachagua, wawe fungu lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri taifa ambalo BWANA ni Mungu wao, Watu aliowachagua kuwa urithi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri taifa ambalo Mungu wake ni Yawe; heri wale aliowachagua kuwa watu wake mwenyewe!