Psalms 33:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu huangalia chini kutoka mbinguni, na kuwaona wanadamu wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu hutazama chini kutoka mbinguni na kuwaona wanadamu wote;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Toka mbinguni Bwana huchungulia, Huwatazama wanadamu wote pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu huangalia chini kutoka mbinguni, na kuwaona wanadamu wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka mbinguni BWANA hutazama chini na kuwaona wanadamu wote;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka mbinguni bwana hutazama chini na kuwaona wanadamu wote;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Toka mbinguni BWANA huchungulia, Huangalia na kuwaona wanadamu wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu huangalia chini kutoka mbinguni, na kuwaona wanadamu wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana huchungulia toka mbinguni, huwatazama wote pia walio wana wa watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Toka mbinguni BWANA huchungulia, Huwatazama wanadamu wote pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anaangalia chini kutoka mbinguni, na kuwaona wanadamu wote.