Psalms 33:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka kwenye kiti chake cha enzi, huwaangalia wakazi wote wa dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kutoka maskani mwake huwaangalia wote wanaoishi duniani:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Toka mahali pake aketipo Huwaangalia wote wakaao duniani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka kwenye kiti chake cha enzi, huwaangalia wakazi wote wa dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kutoka maskani mwake huwaangalia wote wakaao duniani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kutoka maskani mwake huwaangalia wote wakaao duniani:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akiwa katika kiti chake cha enzi. Huwaangalia wote wakaao duniani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka kwenye kiti chake cha enzi, huwaangalia wakazi wote wa dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwenye kao lake, alikotua, huwaangalia wote wakaao nchini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Toka mahali pake aketipo Huwaangalia wote wakaao duniani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka kwenye kiti chake cha kifalme, anawaangalia wakaaji wote wa dunia.