Psalms 33:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme hawezi kuokolewa kwa kuwa na jeshi kubwa; wala shujaa hapati ushindi kwa nguvu zake kubwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna mfalme anayeokoka kwa ukubwa wa jeshi lake; hakuna shujaa anayeokoka kwa wingi wa nguvu zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapana mfalme aokokaye kwa wingi wa uwezo, Wala shujaa haokoki kwa wingi wa nguvu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme hawezi kuokolewa kwa kuwa na jeshi kubwa; wala shujaa hapati ushindi kwa nguvu zake kubwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna mfalme aokokaye kwa ukubwa wa jeshi lake; hakuna shujaa aokokaye kwa wingi wa nguvu zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna mfalme aokokaye kwa ukubwa wa jeshi lake; hakuna shujaa aokokaye kwa wingi wa nguvu zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme haokolewi kwa jeshi lake kubwa, Wala shujaa haokoki kwa kuwa na nguvu nyingi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme hawezi kuokolewa kwa kuwa na jeshi kubwa; wala shujaa hapati ushindi kwa nguvu zake kubwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hakuna mfalme aokolewaye na nguvu zake nyingi, wala fundi wa vita aponaye kwa uwezo wake mwingi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapana mfalme aokokaye kwa wingi wa uwezo, Wala shujaa haokoki kwa wingi wa nguvu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme hawezi kuokolewa kwa kuwa na kundi kubwa; wala shujaa hapati ushindi kwa nguvu zake kubwa.