Psalms 33:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Farasi wa vita hafai kitu kwa kupata ushindi; nguvu zake nyingi haziwezi kumwokoa mtu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Farasi ni tumaini la bure kwa wokovu, licha ya nguvu zake nyingi, hawezi kuokoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Farasi hafai kitu kwa wokovu, Wala hamponyi mtu kwa wingi wa nguvu zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Farasi wa vita hafai kitu kwa kupata ushindi; nguvu zake nyingi haziwezi kumwokoa mtu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Farasi ni tumaini la bure kwa wokovu, licha ya nguvu zake nyingi hawezi kuokoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Farasi ni tumaini la bure kwa wokovu, licha ya nguvu zake nyingi, hawezi kuokoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Farasi hafai kitu kwa wokovu, Wala hamponyi mtu kwa wingi wa nguvu zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Farasi wa vita hafai kitu kwa kupata ushindi; nguvu zake nyingi haziwezi kumwokoa mtu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Farasi nao ni wa bure, hawashindi, nguvu zao nyingi haziponyi mtu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Farasi hafai kitu kwa wokovu, Wala hamponyi mtu kwa wingi wa nguvu zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Farasi wa vita hafai kitu kwa kupata ushindi; nguvu zake nyingi haziwezi kumwokoa mutu.