Psalms 33:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu huwaangalia wale wamchao, watu ambao wanatumainia fadhili zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini macho ya Mwenyezi Mungu yako kwa wale wamchao, kwa wale tumaini lao liko katika upendo wake usio na kikomo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, jicho la Bwana li kwao wamchao, Wazingojeao fadhili zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu huwaangalia wale wamchao, watu ambao wanatumainia fadhili zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini macho ya BWANA yako kwa wale wamchao, kwa wale ambao tumaini lao ni katika upendo wake usio na kikomo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini macho ya bwana yako kwa wale wamchao, kwa wale tumaini lao liko katika upendo wake usio na kikomo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, jicho la BWANA li kwao wamchao, Wazingojeao fadhili zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu huwaangalia wale wamchao, watu ambao wanatumainia fadhili zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utaliona jicho la Bwana, likiwatazama wamwogopao, ndio waingojeao huruma yake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, jicho la BWANA li kwao wamchao, Wazingojeao fadhili zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anawaangalia wale wanaomwabudu, watu ambao wanatumainia wema wake.