Psalms 33:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye huwaokoa katika kifo, huwaweka hai wakati wa njaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili awaokoe na mauti, na kuwahifadhi wakati wa njaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye huwaponya nafsi zao na mauti, Na kuwahuisha wakati wa njaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye huwaokoa katika kifo, huwaweka hai wakati wa njaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili awaokoe na mauti, na kuwahifadhi wakati wa njaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili awaokoe na mauti, na kuwahifadhi wakati wa njaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ili kuwaponya nafsi zao na mauti, Na kuwahuisha wakati wa njaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye huwaokoa katika kifo, huwaweka hai wakati wa njaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
aziokoe roho zao katika kufa, hata siku za njaa awatunze.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye huwaponya nafsi zao na mauti, Na kuwahuisha wakati wa njaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye anawaokoa katika kifo, anawalinda wakati wa njaa.