Psalms 33:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni Mwenyezi-Mungu kwa zeze; mwimbieni kwa kinubi cha nyuzi kumi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msifuni Mwenyezi Mungu kwa kinubi, mwimbieni sifa kwa zeze la nyuzi kumi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mshukuruni Bwana kwa kinubi, Kwa kinanda cha nyuzi kumi mwimbieni sifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni Mwenyezi-Mungu kwa zeze; mwimbieni kwa kinubi cha nyuzi kumi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msifuni BWANA kwa kinubi, mwimbieni sifa kwa zeze la nyuzi kumi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msifuni bwana kwa kinubi, mwimbieni sifa kwa zeze la nyuzi kumi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mshukuruni BWANA kwa kinubi, Kwa kinanda cha nyuzi kumi mwimbieni sifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni Mwenyezi-Mungu kwa zeze; mwimbieni kwa kinubi cha nyuzi kumi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mshukuruni Bwana na kupiga mazeze! Mpigieni nayo mapango yenye nyuzi kumi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mshukuruni BWANA kwa kinubi, Kwa kinanda cha nyuzi kumi mwimbieni sifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumusifu Yawe kwa zeze; mumwimbie kwa kinubi cha nyuzi kumi.