Psalms 33:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mioyo yetu yamtumainia Mwenyezi-Mungu. Yeye ni msaada wetu na ngao yetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sisi tunamngojea Mwenyezi Mungu kwa matumaini, yeye ni msaada wetu na ngao yetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nafsi zetu zinamngoja Bwana; Yeye ndiye msaada wetu na ngao yetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mioyo yetu yamtumainia Mwenyezi-Mungu. Yeye ni msaada wetu na ngao yetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sisi tunamngojea BWANA kwa matumaini, yeye ni msaada wetu na ngao yetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sisi tunamngojea bwana kwa matumaini, yeye ni msaada wetu na ngao yetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nafsi zetu zinamngoja BWANA; Yeye ndiye msaada wetu na ngao yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mioyo yetu yamtumainia Mwenyezi-Mungu. Yeye ni msaada wetu na ngao yetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho zetu zinamngoja yeye Bwana, ndiye msaada wetu na ngao yetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nafsi zetu zinamngoja BWANA; Yeye ndiye msaada wetu na ngao yetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mioyo yetu inamutumainia Yawe. Yeye ni musaidizi wetu na ngao yetu.