Psalms 33:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam twafurahi kwa sababu yake; tuna matumaini katika jina lake takatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mioyo yetu humshangilia, kwa maana tunalitumainia jina lake takatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana mioyo yetu itamfurahia, Kwa kuwa tumelitumainia jina lake takatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam twafurahi kwa sababu yake; tuna matumaini katika jina lake takatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika yeye mioyo yetu hushangilia, kwa maana tunalitumainia jina lake takatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mioyo yetu humshangilia, kwa maana tunalitumainia jina lake takatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana mioyo yetu itamfurahia, Kwa kuwa tumelitumainia jina lake takatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam twafurahi kwa sababu yake; tuna matumaini katika jina lake takatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo mioyo yetu inamfurahia, kwani Jina lake takatifu tunaliegemea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana mioyo yetu itamfurahia, Kwa kuwa tumelitumainia jina lake takatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tunafurahi kwa sababu yake; tunatumainia jina lake takatifu.