Psalms 33:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fadhili zako zikae nasi, ee Mwenyezi-Mungu, kwani sisi tumekuwekea tumaini letu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Upendo wako usio na mwisho ukae juu yetu, Ee Mwenyezi Mungu, tunapoliweka tumaini letu kwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, fadhili zako zikae nasi, Kama vile tulivyokungoja Wewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fadhili zako zikae nasi, ee Mwenyezi-Mungu, kwani sisi tumekuwekea tumaini letu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Upendo wako usio na mwisho ukae juu yetu, Ee BWANA, kama vile tunavyoweka tumaini letu kwako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Upendo wako usio na mwisho ukae juu yetu, Ee bwana, tunapoliweka tumaini letu kwako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, fadhili zako zikae nasi, Kama tunavyo kutumainia Wewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fadhili zako zikae nasi, ee Mwenyezi-Mungu, kwani sisi tumekuwekea tumaini letu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wema wako, Bwana, utukalie! Hivyo ndivyo, tunavyovingojea toka kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, fadhili zako zikae nasi, Kama vile tulivyokungoja Wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wema wako ukae nasi, ee Yawe, kwa maana tumekuwekea tumaini letu.