Psalms 33:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwimbieni wimbo mpya; pigeni kinubi vizuri na kushangilia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwimbieni wimbo mpya; pigeni kwa ustadi, na mpaze sauti za shangwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwimbieni wimbo mpya, Pigeni kwa ustadi kwa sauti ya shangwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwimbieni wimbo mpya; pigeni kinubi vizuri na kushangilia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwimbieni wimbo mpya; pigeni kwa ustadi, pigeni kelele za furaha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwimbieni wimbo mpya; pigeni kwa ustadi, na mpaze sauti za shangwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwimbieni wimbo mpya, Pigeni kwa ustadi kwa sauti ya shangwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwimbieni wimbo mpya; pigeni kinubi vizuri na kushangilia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwimbieni wimbo mpya na kupiga shangwe zilizo nzuri mkizipatanisha nayo marimba!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwimbieni wimbo mpya, Pigeni kwa ustadi kwa sauti ya shangwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumwimbie wimbo mupya; mupige kinubi vizuri na kushangilia.