Psalms 33:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Neno la Mwenyezi-Mungu ni la kweli; na matendo yake yote ni ya kuaminika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maana neno la Mwenyezi Mungu ni haki na kweli, ni mwaminifu kwa yote atendayo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa neno la Bwana lina adili, Na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Neno la Mwenyezi-Mungu ni la kweli; na matendo yake yote ni ya kuaminika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maana neno la BWANA ni haki na kweli, ni mwaminifu kwa yote atendayo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maana neno la bwana ni haki na kweli, ni mwaminifu kwa yote atendayo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa neno la BWANA lina adili, Na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Neno la Mwenyezi-Mungu ni la kweli; na matendo yake yote ni ya kuaminika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana ayasemayo hunyoka, nayo yote ayafanyayo hutimia kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa neno la BWANA lina adili, Na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Neno la Yawe ni la usawa; na matendo yake yote ni ya kuaminika.