Psalms 33:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu apenda uadilifu na haki, dunia imejaa fadhili za Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu hupenda uadilifu na haki; dunia imejaa upendo wake usiokoma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huzipenda haki na hukumu, Nchi imejaa fadhili za Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu apenda uadilifu na haki, dunia imejaa fadhili za Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hupenda uadilifu na haki; dunia imejaa upendo wake usiokoma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana hupenda uadilifu na haki; dunia imejaa upendo wake usiokoma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huzipenda haki na hukumu, Nchi imejaa fadhili za BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu apenda uadilifu na haki, dunia imejaa fadhili za Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hupenda mashauri yaongokayo, nchi imejaa magawio yake Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huzipenda haki na hukumu, Nchi imejaa fadhili za BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anapenda haki na sheria. Dunia imejaa wema wake.