Psalms 33:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbingu ziliumbwa kwa neno la Mwenyezi-Mungu, na vyote vilivyomo kwa pumzi ya mdomo wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa neno la Mwenyezi Mungu mbingu ziliumbwa, jeshi lao la angani likaumbwa kwa pumzi ya kinywa chake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika, Na jeshi lake lote kwa pumzi ya kinywa chake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbingu ziliumbwa kwa neno la Mwenyezi-Mungu, na vyote vilivyomo kwa pumzi ya mdomo wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa neno la BWANA mbingu ziliumbwa, jeshi lao la angani kwa pumzi ya kinywa chake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa neno la bwana mbingu ziliumbwa, jeshi lao la angani kwa pumzi ya kinywa chake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa neno la BWANA mbingu ziliumbwa, Na jeshi lake lote kwa pumzi ya kinywa chake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbingu ziliumbwa kwa neno la Mwenyezi-Mungu, na vyote vilivyomo kwa pumzi ya mdomo wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa neno lake Bwana mbingu zilifanyika, nayo majeshi yao yote yakatokea, alipopuzia na kinywa chake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa neno la BWANA mbingu zilifanyika, Na jeshi lake lote kwa pumzi ya kinywa chake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbingu ziliumbwa kwa neno la Yawe, na vyote vinavyokuwa ndani yake kwa pumzi ya kinywa chake.